Maelezo Muhimu
- Ada ya usajili hulipwa mara moja tu.
- Ada ya mwezi hulipwa kwa kila mwezi.
- Uanachama hudumu miaka mitatu, kisha huhuishwa.
- Mwanachama ana haki zote kulingana na kifurushi alichochagua.
- Malipo yote ni kwa shilingi za Kitanzania (TSh).
Chagua kifurushi kinachokufaa. Ada ya usajili hulipwa mara moja tu; ada ya mwezi hulipwa kwa kila mwezi.
Linganisha vifurushi vyote kwa mtazamo mmoja.
| Kifurushi cha Mwanachama | Bronze | Silver | Gold Maarufu | Diamond | Tanzanite |
|---|---|---|---|---|---|
| Kadi ya Uanachama | |||||
| Ada ya Usajili (Mara moja) | 10,000 | 20,000 | 50,000 | 100,000 | 500,000 |
| Ada ya Mwezi (TSh) | 10,000 | 25,000 | 50,000 | 100,000 | 200,000 |
| Muda wa Uanachama | Miaka 3 | Miaka 3 | Miaka 3 | Miaka 3 | Miaka 3 |
| Matukio na Mafunzo | |||||
| Ripoti na Taarifa | |||||
| Huduma za Kipaumbele | — | ||||
| Cheti cha Shukrani | |||||
| Fursa za Uongozi | — | — | |||
| Alama za Utambuzi / Poini | 100 | 250 | 500 | 1,000 | 2,000+ |
| Rangi ya Kadi | Bronze | Silver | Gold | Diamond | Tanzanite |
Kushiriki katika miradi ya kijamii
Kupata taarifa za kila mwezi
Kipaumbele katika huduma na programu
Kuchangia maendeleo ya jamii
Kujenga uhusiano na wanachama wengine
Kuwa sehemu ya mabadiliko. Uanachama wako unasaidia elimu, afya na ustawi wa maelfu ya Watanzania.