MUWESTA yatoa msaada kwa familia zilizoathiriwa na mafuriko Dodoma
01 August 2026MUWESTA imekabidhi msaada wa vyakula, mavazi na vifaa muhimu kwa familia 120 zilizoathirika na mafuriko katika wilaya za Chamwino na Bahi. Msaada huu una thamani ya zaidi ya TZS 85 milioni.
Soma Zaidi