+255 769 600 102 [email protected] Shariff PBZ House, Nyerere Square, Dodoma
Taarifa

Matangazo

Taarifa rasmi kutoka MUWESTA.

Mkutano Mkuu wa MUWESTA Wote mnakaribishwa kwenye Mkutano Mkuu utakaofanyika Dodoma tarehe 30 Agosti 2026. 01 Ago 2026 Fursa za Scholarship 2026 Maombi ya scholarship kwa wanafunzi wa kidato na vyuo yanapokelewa hadi 15 Agosti. 30 Jul 2026 Wito wa Misaada Tuendelee kusaidia ndugu zetu wenye uhitaji katika mikoa iliyoathirika na mafuriko. 27 Jul 2026